CHENGU MANURE JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 914 Reaction score 566 Dec 12, 2019 #1 Hata uwe mbunifu mkubwa kiasi gani huwezi kunufaika ikiwa hujui jinsi ya kuuza ulichobuni. Ukiamua kuingia katika ujasiriamali bila hii elimu utajikuta unapiga marktime na kurudi katika kuuza CV. Tujitahidi
Hata uwe mbunifu mkubwa kiasi gani huwezi kunufaika ikiwa hujui jinsi ya kuuza ulichobuni. Ukiamua kuingia katika ujasiriamali bila hii elimu utajikuta unapiga marktime na kurudi katika kuuza CV. Tujitahidi
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Dec 12, 2019 #2 Fanya hivi, tupia haya basics za hio kozi basi!
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,629 Reaction score 34,199 Dec 13, 2019 #3 Sure 100
M Marwa_J_Merengo JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 4,512 Reaction score 6,882 Dec 13, 2019 #4 Sasa utafanyaje kazi zote mtu mmoja wewe buni waachie watu wa matangazo wakutangazie ulichobuni