nenda kwenye website ya www.eabmt.org kuna dada mmoja ni mkali wa Sales and marketing na mambo ya biashara kwa ujumla very sharp upstairs huwa anafundisha makampuni mimi nilihudhuria darasa lake Mwanza ni mkali kwenye hivyo vitu vyake