M MMOJA JF-Expert Member Joined Aug 30, 2012 Posts 445 Reaction score 259 Oct 16, 2012 #1 Wadau naomba msaada,hawa jamaa wa join africa wamenipigia simu kwenye sales executive kwa ajili ya usaili,labda kwa anaewafahamu vizuri anifahamishe kuhusu wao
Wadau naomba msaada,hawa jamaa wa join africa wamenipigia simu kwenye sales executive kwa ajili ya usaili,labda kwa anaewafahamu vizuri anifahamishe kuhusu wao
mchemsho JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 3,230 Reaction score 933 Oct 16, 2012 #2 Utakuwa unatembeza majagi, mabeseni na ndoo kusaka wateja