Sales & Marketing Officers wanahitajika
Ni Kiwanda cha Mafuta ya Alizeti
Mahali pa Kazi: Dodoma & Dar es Salaam.
Wanahitajika watu wenye uzoefu wa kuuza Mafuta ya Kupikia ya Alizeti. Wenye database ya Customers wa Mafuta.
Mwenye Kujua kuzungumza Kingereza vizuri na Ujuzi wa kutumia Computer vizuri.