Naitwa Jofrey Mshobozi Mafuru. Nina uzoefu wa miaka 4+ katika mauzo ya moja kwa moja na huduma kwa wateja.
NINI NAWEZA KUFANYIA KAMPUNI YAKO:
1. Kusimamia wateja 200+
2. Kufikia malengo ya mauzo kila mwezi - 93.3% client retention rate
3. Kupata maduka/wateja wapya kila wiki kupitia field sales
4. Kuwafundisha wafanyabiashara faida za bidhaa zenu
*NATAFUTA KAZI YA:*Sales Officer / Field Sales / Customer Relations
MAENEO: - Niko tayari kufanya kazi sehemu yoyote