Salha Israel Akiri Kuzukiwa Na Mapedeshee

Salha Israel Akiri Kuzukiwa Na Mapedeshee

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
MISS Tanzania 2011, Salha Israel ametoboa siri kuhusiana na mapedeshee ambao wamekuwa wakiwapa usumbufu mkubwa kiasi cha kuonekana ni janga la kitaifa kwa warembo

Akizungumza na Ijumaa kwenye mahojiano maalum hivi karibuni ndani ya ofisi za gazeti hili, Salha alikiri kuwepo kwa watu wenye nia mbaya wanaotumia utajiri wao kujipatia wasichana hali inayosababisha kuichafua Miss Tz.

“Kusema ukweli nilipokuwa kwenye shindano hili sikupata usumbufu sana ila baada ya kupata taji, usumbufu ukaanzia hapo.

“Nikawa napigiwa simu na watu nisiowajua huku wengine wakitaka nionane nao, nimekuwa nikiwakwepa ila ni wasumbufu mno,” alisema Salha aliyekuwa ameongozana na wadogo zake Sabra na Samier.
 
Kwani tatizo liko wapi mwanamke kutongozwa naona hajui kutumia fursa au mapedejee dizain ya clement ni wa kubahatishaa nin
 
Back
Top Bottom