SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Huyu jamaa Salim Abdallah, (sipendi na sijawahi kumuita jina lake la utani) sijawahi kumuelewa toka nimeanza kufuatilia nyendo zake pale Simba.
Juzi baada ya sakata la kule Mwanza, inasemekana alitaka kuwachomesha Simba wenzake ili ndiyo waonekane wakosefu. Tunaojua mambo ya ndani ya Simba tunajua alikuwa analenga nini.
Leo Ahmed Ally amejitangaza ndiye mgeni rasmi katika mechi kubwa na muhimu ya CAFCC, heshima na fursa ambayo sidhani kama huyo mjumbe wa bodi aliwahi kupewa. Hii ni message tosha kwake, sent and delivered.
Salim hata afanye nini ajue hatakuja kurudi tena kamwe katika cheo kingine pale Simba, si cha CEO wala Mwenyekiti wa Bodi. Ningemshauri aachie ngazi tu ili aepuke aibu zingine ndogo ndogo zinazomsubiri huko mbeleni.