DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Ww yanakuhusu niniVipi na kuhusu Mwenyekiti Mangungu! Siku hizi unamuelewa?
Mazuzu hamuishi kwny nyuzi za Simba...hahahaMbumbumbu hamna dogo
Nilikuwa nacheka sana enzi hizo Kitenge akimhoji Mwina KadugudaAkina Mwina kaduguda (simba wa yuda), Evance aveva, Godfrey Nyange (kaburu),Mzee kilomoni, Hanspope (RIP), Salim Abdalah, Mohamed Dewji, Gulam Dewji, Swedi Mkwabi, Murtaza Mangungu, Juma mkamia na wengine wengi nilikuwa nawakubali na nitaendelea kuwakubali.
Kitenge aliwahi kumkasirisha Mangungu Kwa kumwambia "...nasikia wewe ni mwenyekiti wa vikao tu ndani ya ya simba". Mangungu akajibu Kwa hasira akisema " unajua watu wengi hawajui maana ya bodi ya wakurugenzi, wanadhani ni kitu kinachofanana na bodi ya gari au ya trekta.... "Nilikuwa nacheka sana enzi hizo Kitenge akimhoji Mwina Kaduguda
"MANYANG'ANYI YA SOKA"Akina Mwina kaduguda (simba wa yuda), Evance aveva, Godfrey Nyange (kaburu),Mzee kilomoni, Hanspope (RIP), Salim Abdalah, Mohamed Dewji, Gulam Dewji, Swedi Mkwabi, Murtaza Mangungu, Juma mkamia na wengine wengi nilikuwa nawakubali na nitaendelea kuwakubali.