Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Tatizo mihuni na mijambazi ndiyo imepata kadi za CCM.Mnec wa Mkoa wa Iringa Komredi Salim ASAS amesema hapa tulipo Uongozi CCM umekuwa kama Mnada Watu wanapandishiana Dau kwa Wajumbe Ili kuununua
ASAS ameonya hali hii ikiachwa Iendelee itakivuruga chama na kukigawa kwa sababu ni Matajiri tu Ndio watakuwa Uongozini
ASAS amewataka Wanaccm wenzake kuikemea Hali hii kwa nguvu zote kwani wakizubaa Chama kitatekwa na wenye Fedha kwa manufaa yao binafsi
Credit: Kitenge Tv
msigwa pesa zake akatumie na familia yake, zitaisha atakimbilia NCCR mageuzi kumalizia trace zake, kanisani hawezi tena maana waumini washashtukaMnec wa Mkoa wa Iringa Komredi Salim ASAS amesema hapa tulipo Uongozi CCM umekuwa kama Mnada Watu wanapandishiana Dau kwa Wajumbe Ili kuununua
ASAS ameonya hali hii ikiachwa Iendelee itakivuruga chama na kukigawa kwa sababu ni Matajiri tu Ndio watakuwa Uongozini
ASAS amewataka Wanaccm wenzake kuikemea Hali hii kwa nguvu zote kwani wakizubaa Chama kitatekwa na wenye Fedha kwa manufaa yao binafsi
Credit: Kitenge Tv
Hizi ndiyo hadaa zilizo baki huko CCM. Huyu anazungumza utadhani anaumizwa sana na hali hiyo aliyo ielezea; ambayo kwa kawaida ningeungana naye sana kumhimiza apige kelele zaidi huko ndani ya chama.Mnec wa Mkoa wa Iringa Komredi Salim ASAS amesema hapa tulipo Uongozi CCM umekuwa kama Mnada Watu wanapandishiana Dau kwa Wajumbe Ili kuununua
ASAS ameonya hali hii ikiachwa Iendelee itakivuruga chama na kukigawa kwa sababu ni Matajiri tu Ndio watakuwa Uongozini
ASAS amewataka Wanaccm wenzake kuikemea Hali hii kwa nguvu zote kwani wakizubaa Chama kitatekwa na wenye Fedha kwa manufaa yao binafsi
Credit: Kitenge Tv
Mnec wa Mkoa wa Iringa Komredi Salim ASAS amesema hapa tulipo Uongozi CCM umekuwa kama Mnada Watu wanapandishiana Dau kwa Wajumbe Ili kuununua
ASAS ameonya hali hii ikiachwa Iendelee itakivuruga chama na kukigawa kwa sababu ni Matajiri tu Ndio watakuwa Uongozini
ASAS amewataka Wanaccm wenzake kuikemea Hali hii kwa nguvu zote kwani wakizubaa Chama kitatekwa na wenye Fedha kwa manufaa yao binafsi
Credit: Kitenge Tv
Hakunaga wa kumzidi ASAS pale Unyaluni 😄Mmmmhhh yeye aliishia ngapi au alizidiwa kwa ngapi??[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]