Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
''...nikapokea picha ya Salim Himidi na Nelson Mandela, Salim Himidi na Salim Ahmed Salim, Salim Himidi na Raisi wa Senegal Leopold Sedar Senghor, Salim Himidi na Rais Sassou Nguesso wa Congo Brazaville, Salim Himidi anatoa hotuba Umoja wa Mataifa, Salim Himidi na Seif Shariff Hamad katika gari ya wazi Comoro.
Nililetewa picha nyingi akiwa katika matukio mengi kama Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje.
Pamoja na picha hizi pia nikatumiwa mengi ambayo Salim Himidi alifanya katika kuitumikia nchi yake kuanzia kupigania uhuru wa Comoro na misukosuko kutoka serikali ya Ufaransa na wakati mwingine misukosuko ya vibaraka wa ndani.
Salim Himidi ni jahazi lililobeba vito vya thamani linaposafiri baharini na linapotia nanga bandarini linahitaji nahodha aliye na ujuzi wa kutosha sana na ulinzi mkali usio na shaka...''
PIA SOMA: Salim Himidi (1945 – 2020): Jahazi lililozama na shehena yake yote ya vito vya thamani kubwa - JamiiForums