Salim Kikeke ajiunga na EFM na TVE

Amejiunga au amealikwa kwenye uzinduzi wa studio mpya?
 
Kama kaajiriwa hapo itakuwa poa ule utaratibu wa kituo kimoja kuwa na watu wote Bora kunaua tasnia na ubunifu Sasa mtu unaweza kusikiliza au kuangalia tv na radio mbali mbali bila kuchoka kwangu itakuwa poa sana
 
Anaenda kupotea kaenda media ya ovyo vipindi ni kelele tupu , kakosa kweli media nzuri ya kwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…