Salim Kikeke wa BBC ateuliwa kuwa balozi wa Simba SC nchini Uingereza

Hii ya usajili wa wachezaji wa EPL ni zaidi ya usanii. Hivi mchezaji gani mwenye akili timamu awache EPL aje kucheza TPL.

Tuwezi Siriazz saa ingine bana.
 
Hii ya usajili wa wachezaji wa EPL ni zaidi ya usanii. Hivi mchezaji gani mwenye akili timamu awache EPL aje kucheza TPL.

Tuwezi Siriazz saa ingine bana.
Tumeanza na wa Brazil; mwakani tunahamia kwa mama malikia
 
Wenyewe mlimuacha Hamis Tambwe ingawa alitaka pesa kidogo tu.
Semeni hamna washambuliaji na sio kusingizia kuhujumiwa.
Makambo mlimuuza pia, Kama mlishindwa kumfunga Polisi na Ruvushuting mtaweza kuzifunga timu za kimataifa ?
Mjitathmini kuna tatizo hapo Yanga.
Tunamsubiri Molinga afunge magoli 15 kwenye VPL.
 
Hamna kitu ka iko Mtani. Kwa hela gani basi ya kuweza kumlipa mtu uliyemtoa TPL anayelipwa fedha ndefu kwa wiki.
Changamsha genge hili mtani

Hahaha sisi level zetu ni kina Moringa tu

Soka la Africa tunaliweza wenyewe
Hata Hawa wabrazil wanakula mapesa ya bure tu.
 
Changamsha genge hili mtani

Hahaha sisi level zetu ni kina Moringa tu

Soka la Africa tunaliweza wenyewe
Hata Hawa wabrazil wanakula mapesa ya bure tu.
Umeonaeee. Soka hili tunaliweza wenyewe kama usemavyo Mtani.

Nasikia hao Wabrazil kuna viwanja wanaweza kuchezea na vyengine hawawezi mpaka nikasema Lol.
 
Umeonaeee. Soka hili tunaliweza wenyewe kama usemavyo Mtani.

Nasikia hao Wabrazil kuna viwanja wanaweza kuchezea na vyengine hawawezi mpaka nikasema Lol.
Mechi ya kule msoma uliiona?

Yani Viwanja vile ni vya kina ndemla etc.

Mpaka shibob ilibidi wote tuwapumzishe.

Kile kikosi kilivyopangwa hakika kocha uchebe nilimuelewa sana. Wale ni taifa tu
 
Mechi ya kule msoma uliiona?

Yani Viwanja vile ni vya kina ndemla etc.

Mpaka shibob ilibidi wote tuwapumzishe.

Kile kikosi kilivyopangwa hakika kocha uchebe nilimuelewa sana. Wale ni taifa tu
Niliiona Mtani.

Kumbe eee. Sasa inakuwaje wanalipwa mshahara mkubwa kuliko hao kina Ndemla na Ajib wa Mavumbini.
 
Niliiona Mtani.

Kumbe eee. Sasa inakuwaje wanalipwa mshahara mkubwa kuliko hao kina Ndemla na Ajib wa Mavumbini.
Mtani ajib anakula pesa ndefu sana
Kuikataa offer ya mazembe sio mchezo.

Ila wale wa Brazil ni zero kabisa
Dawa ni kwenda Sudan tu, kuwaangalia kina shiboub wengine.
 
We kenge wa purple, usiongeze maneno ambayo hao Simba wenyewe hawayafahamu. Hakuna mahala wamesema Kikeke atawasaidia kusajili wachezaji toka EPL. Zwazwa wewe!
 
Huu uharo umeandika ukiwa unafikiria au miyemko?
Yanga hata kipindi manji Yupo haijawai kuvuka round ya pili ya CAF champion.
Afu unasema MO anawadanganya wanasimba.
Hivi mnashindwa kua hata historia vichwani mwenu.
MO akiwa mwenyekiti wa Simba miaka ya 2003 ameipeleka Simba robo fainali ya CAF champion.
Saizi akiwa mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi Simba msimu uliyopita ameipeleka Simba robo fainali.
Msipomwamini kwa maneno yake aminini basi matendo yake.
Simba nguvu moja
 
Mikia FC buana, usajili mchezaji toka EPL aje cheza vs Mbao.
 
wampe ufalme wa uingereza kabisa! Sio huo ubalozi!
 
Kukubali hili linampunguzia hadhi yake kama mtangazaji anaonekana kama yuko bias hivi, watu kama akina Charles Hilary hawakukubali mitego hii.
 
BBC mtapunguza viewers kwa ajili ya huyo jamaa, especially kutoka Tanzania!
Yanga lazima tum mind Kikeke ajue hilo pia atapoteza marafiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…