Huyu Bwana Salim Kikeke mtangazaji wa Radio ya BBC alipenda sana kuwa anakuja Tanzania akiwa OFF, mara nyingi tumekuwa tukikutana pale Qatar uwanja wa ndege upande wa Transit wote tukiwa tunatokea inchi zingine ili kuja Tanzania, siku hizi matangazo yake ya BBC ndio yananifanya niulize maana nahisi amekuwa muoga kuja huku akiwa off, walio muona hivi karibuni miezi ya karibuni mnambie kama anakuja, wengi kwa matangazo kama yakwake yanayohusu Tanzania lazima waogope kuja, maana matangazo kama yakwake TV za ndani hapa hakuna yenye ubavu wa kutangaza.