Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Badili dini mm ninao 2 nataka kuongeza 3 hakuna hata 1 aliyekwenda kwa mganga.Hayo Mambo si kwa ajili ya uke wenza hata kwa mke 1 ataenda ili ammiliki mume

Yupi unampenda zaidi??

Mimi nataka anipende sanaa [emoji1787][emoji1787]
 
Wewe moyo wako unasemaje? tuanze hapo kwanza

Mimi Salim nampenda lakini kutokana na mazingira yaliyopo nafikiri nitashindwa

Nawaza naanzaje kusema naolewa na Muislam
Sawa wanaweza wakakubali ila ndio mke wa pili??
Unajua reaction za Wamama zilivyo
 
Wanawake mko wengi sana; ni bora uzae na mtu mwenye akili timamu maisha yasogee

Jamii ya Tanzania ni ngumu kidogo Wanawake tunanyanyasika sana

Ukizaa kabla ya kuolewa unasemwa

Ukiolewa ukaachika unasemwa

Ukiolewa na mtu sio wa dini yako unatengwa

Usipoolewa kabisa unasemwa
 
Bibie katika hili nisikilize mimi.
 
Jamii ya Tanzania ni ngumu kidogo Wanawake tunanyanyasika sana

Ukizaa kabla ya kuolewa unasemwa

Ukiolewa ukaachika unasemwa

Ukiolewa na mtu sio wa dini yako unatengwa

Usipoolewa kabisa unasemwa
Kuna umri ukifika inabidi kuzaa tu
 
Mimi Salim nampenda lakini kutokana na mazingira yaliyopo nafikiri nitashindwa

Nawaza naanzaje kusema naolewa na Muislam
Sawa wanaweza wakakubali ila ndio mke wa pili??
Unajua reaction za Wamama zilivyo
Basi shikilia msimamo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…