Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Kwaiyo ushaurii wako ni upi niolewe na Salim mke mdogo au nisubiri kuwa bi mkubwa [emoji4]
Kama unamuamini olewa nae.

Sasa usubiri kua mke mkubwa huyo wa kukuoa kua mke mkubwa yupo??
Kama yupo na bado una mawazo ya kuolewa na Salim basi hufai kua mke mkubwa wala mdogo uwe single maza tu.
 
Suala la imani huwezi kuona uzito wake kama bado hujaingia kwenye ndoa. Unapaswa kuelewa kwamba kama Salim anakupenda sana angebadili imani yake kuwa mkristo, na kama wewe unampenda ungekubali kuwa Muislam.
Ushauri wangu, changua kuwa Muislam au kubaki kuwa mkristo.
Ikiwa hutokubali kuwa Muislam usiingie kwenye hiyo ndoa itakutesa, msingi mkuu wa ndoa ni imani.
Ukiona ni uongo basi jaribu kuwa mke wa pili.
 
Kama unamuamini olewa nae.

Sasa usubiri kua mke mkubwa huyo wa kukuoa kua mke mkubwa yupo??
Kama yupo na bado una mawazo ya kuolewa na Salim basi hufai kua mke mkubwa wala mdogo uwe single maza tu.
Na ukimuowa Mamamzungu hujuwe kabisa Salim atakua anakugongea wakati wowote akitaka!!
 
Na ukimuowa Mamamzungu hujuwe kabisa Salim atakua anakugongea wakati wowote akitaka!!
Mpaka hapo huyo akiolewa tayari ni tatizo kwa mumewe. Huyo Salim tayari ni wake, hajamgonga ni vile tu Salim hajataka ama lah jamaa ana kauwoga au kaustaarabu fulani ila akikengeuka anajipigia atakavyo bila hata hiyo ndoa anayoiwazia.
 
Shoga pole sana,
Wewe ndiwe umemtafuta huyo bwana Salim baada ya kuona jua linazama hakuna shela wala mchumba,

Sasa usiwe kidudumtu kwenye Ndoa ya Watu, endelea kusubiri Mlokole mwenzio na nyie mnavyochelewa kuoana sasa, hapo uishi na Mtu akuzalishe watoto watano ndio mkabariki Ndoa, uso unakua umeshuka hata Make Up haikai, [emoji119][emoji1787]
 
Follow your heart kama unampenda Salim and ni mtu mwema kwako basi Olewa nae!! Hakuna waowaji siku hizi wanaume wengi ni wachezeaji!!! Maisha ni yako wewe sio ya Mama yako... Don't sacrifice your Happiness kwaajili ya kufurahisha Family.. Dunia mapito tu, hakuna ataebaki Milele.
 
@Dream Queen Tulia kwanza mbona unampaka mwenzio hivyo soma coment kwanza maana uyu ajielewi
 
Esther najua ni ww japo stori umeivunja vunja ili ufiche I'd yako Kuna baadhi ya matukio umeyabadilisha ila matukio muhim uliyo yagusa nauhakika ni wewe hata jina la salim ulilonipa siyo langu
🤣🤣🤣
 
Njoo kwangu. Hutajuta. Niko smart kwa kila kitu, sipendi makuu. Handsome wa maana tu.
Salum hatafikia . Jaribisha kwa urafiki nami mengine utaamua. Sitakugusa kwa tamaa za mwili. Karibu DM

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kama unamuamini olewa nae.

Sasa usubiri kua mke mkubwa huyo wa kukuoa kua mke mkubwa yupo??
Kama yupo na bado una mawazo ya kuolewa na Salim basi hufai kua mke mkubwa wala mdogo uwe single maza tu.

Haha [emoji23]
 

Asante dear
 
Naomba ni kunukuu

"NB: Mimi na Salim mpk leo hii Hatujawahi kufanya mchezo Mchafu yaani Salim hajaninyandua wala mimi sijanyanduliwa na Salim"

Haya mapenzi bwana imagine kuna mwamba asha kutia vya kutosha na wala hataki kabisaa kukusikia, halafu Salim ndio hapati usingizi kisa wewe🙄🙄.Any way ni ecosystem 🙈🙈
 
Nakushauri endelea kusubiri utakuja kutupa mrejesho[emoji1787]
Bora mke wa pili marakumi sio ndoa zote zinakua na shida wengine huishi kwa amani na upendo.
 
Na ukimuowa Mamamzungu hujuwe kabisa Salim atakua anakugongea wakati wowote akitaka!!

Mawazo finyuu hayo ukiwaza kugongewa kuoa kwako utachelewa sana

Halafu mbona wanaume mnatuchukulia sie ni rahisi hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…