Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Angalia usichelewe tena akaoa mke wa pili, then akarudi tena akuoe uwe wa tatu.
 
Mimi na Salim mpk leo hii Hatujawahi kufanya mchezo Mchafu yaani Salim hajaninyandua wala mimi sijanyanduliwa na Salim.

Kwahyo hili umeliona dili sana wala hata halina faida yoyote,

Eti unapenda harusi kubwaaa,hyo harusi unaigharamia wewe au ni wa kupenda vitu vikubwa na hamjui vinakuja vipi
 
Mrejesho.
 
We vp mara wazungu mara salum,
Umekula kwanza?
Kuna tatizo upstair kapime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…