Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Mkuu mamamzungu nenda kaolewe kiroho safi, hasa ukizingatia wote mnaonekana kupendana ukweli wa kupendana[emoji3059]

Ila kumbuka anakuoa sio kwa sababu amemchoka mke wake alonae kwa sasa bali ni kwa sababu za kidini pia. Usiende ukaleta fujo huko[emoji16][emoji16]

Naamini "Salim" ni mwanaume muadilifu[emoji4][emoji4] hivyo kila kitu kitaenda sawa. Kila ndoa ina changamoto, mtavumiliana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mlokole nahisi Mama yako atanifurahia sana mamamzungu achana Salim 😊😊
 
M N A T A M A N I A N A
Acheni NyEge,,,, nenda mpekee mzigo then baada ya hapo ndio fanyeni discussion ya ndoa...

Kama hajawai kula mbunye basi lengo lake sasa ni hilo,,,mpe achakate then baada ya hapo utamjua The Real Salim,..maamuzi atayofanya baada ya hapo ndio yatakuwa sahihi zaidi.....kingine Jipe muda usiharakie NDOA kiasi hiko,,,utarudi hapa unalia lia...

...miaka 26 ni Binti mdogo sana kuolewa Mke wa pili.... Hujakomaa kiakili bado....HUJAKUA...

Sikulazimishi,,, ila ikikupendeza zingatia haya,,
 
Bado hujapevuka kiakili, salim aendelee tu kupasha kiporo
 
Pole yako. Kuolewa mke wa pili hapana bora usubiri wa kwako.
 

Hiyo ya mwisho nimeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…