Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Mm siwezi kutangaza ndoa pasipo kuchakata mbususu, wanawake hawa wana mambo mengi, unakuta usoni yuko vizuri upande wa pili ziwa Tanganyika.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sawa Mungu atakupa wa kukufanana
 
Mimi ni muislamu ila navutiwa na mwanamke mpenda dini hata awe mkristo naona mule mule tu kwa kweli nawapenda tu kwa sababu hata Bible nasoma na qur an pia

Dada yangu ameolewa na mkristo mwaka wa 10 sasa wanaishi anaswali sema mzee wa ijumaa anafunga ramadhani mumewe ni mmachame ni mkristo jina maana ni mlevi ila anajali familia yake watoto wao wamewapa majina tatanishi wako wakiune wawili wa kwanza Musa wa pili ibrahim
 

Mmmmmh
 
Kweli aichape kwanza ndo amjue
 
Ila Africa bado tunaubaguzi mkubwa mno alaf tunasema wazungu wanaubaguzi, sasa DINI inamata nini watu wawili mkipendana, huu upuuzi wa kutofautiana ktk dini mim uwa unanikera kinoma yan.

Mama yangu ni muislam na ijumaa anaenda msikitini na baba yangu ni mkristo na anaenda zake church alaf fresh tu hakuna changamoto yoyote na maisha yanaendelea. POLE DADA
 

Kwakweli ndio hivo

Hata Baba yangu alikuwa Muislam akaoana na mama yangu wakati huo mama alikuwa mkkkt sijui walioana ndoa ipi ila ni zamani

Ila kwa sasa mama ni mlokolee hataki kusikia habari hizo [emoji51][emoji51][emoji51]

Anyway sijawahi gusia hizo habari ila najua ni ngumu sanaa
 
NB: Mimi na Salim mpk leo hii Hatujawahi kufanya mchezo Mchafu yaani Salim hajaninyandua wala mimi sijanyanduliwa na Salim

Swali: je anaekunyandua kwa sasa una mpango gani nae?

Mimi mahusiano yangu ni ya kuchart hakuna kunyanduana


Jibu

Hakuna naenyanduana nae nimesahau hayo mambo zamani sana nina zaidi ya miaka 4 [emoji849]
 
Akunyandue kwanza. Haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…