Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

...saliiiiim saliiiiim..hukutenda haki Bwana saliiim
Ila komaa shoo uke wenza sio POA. Mungu atakuletea tu wa dini yako usichoke kuomba
Wanaume wenyewe wapi?
Hawa wamekuwa kama wanawake?
Mtakuja kumbuka vizuri mkiwa na 40 na watoto 3 kila mmoja na baba yake

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Esther najua ni ww japo stori umeivunja vunja ili ufiche I'd yako Kuna baadhi ya matukio umeyabadilisha ila matukio muhim uliyo yagusa nauhakika ni wewe hata jina la salim ulilonipa siyo langu
Ohoo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe na Salimu.hamjanyanduana,ila vipi kuhusu jamaa anayekunyandua hana mpango wa kukuoa?
 
0622008764657
Nlikua kuswali Naomba nicheki[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mimi mahusiano yangu ni ya kuchart hakuna kunyanduana


Jibu

Hakuna naenyanduana nae nimesahau hayo mambo zamani sana nina zaidi ya miaka 4 [emoji849]
Sawa samahani hiyo miaka 4 iliyopita aliyekua anakula mzigo ilikuaje mkaachana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ