Weka source hyo maana nimeangalia forbes web sijaona kitu.
Kwenye list ya top tax-payers hayupo! Shamba la bibi!
10 African Millionaires To Watch
Said Salim Bakhresa
Nationality: Tanzanian
Source: Bakhresa Group
The extremely reclusive Tanzanian tycoon famously dropped out of school at the age of 14 to sell potato mix, then opened a small restaurant and then finally delved into grain milling. Today, his Bakhresa group employs over 2,000 people and is Tanzania's largest conglomerate. The company's interests include grain milling, confectionaries, frozen foods, beverages and packaging. The group's Azam brand is the most popular manufacturer of chocolates and ice cream in the region. The $800 million (sales) group is also the largest producer of wheat flour in East Africa. Daily capacity: 2,100 metric tons. Company is managed by his sons.
Source: Forbes Magazine
ni mfanyabiashara makini. Ila tofauti ni kwamba hao wenzake walianzisha biashara zao from scratch...
unajua huyu jamaa ni Mzanzibar wao hawamo katika TAX za bara, wakati kule visiwani nasikia wafanyakazi/wafanyabiashara wote toka Bara watahesabiwa km wageni na vitambulisho watapewa tofauti.Safi sana. At least tuwe na mwakilishi wetu. Ila akirudi atuambie kwa nini hayupo kwenye Top Ten ya Tz tax payers kama ameweza kushika chat za Africa..
anajua cheza michezo ndio maana hayupo kwenye tax payers wakubwa