Salim Said Bakhresa ametajwa na Jarida la Forbes miongoni mwa matajiri kumi barani Afrika.

Basi msome sio mnakimbilia kupost..tu ...hayupo hata top 40,

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

si hivyo tu nyepesinyepesi za wakongwe wa siasa za mitaani wanasema Karume pia alimmwagia mihela
 
Allah amzidishie na ampe utulivu wa nafsi na ampe kingi zaidi ili asaidie masikini wengi kama anavyosaidia sasa na pia aendelee kutoa ajira kwa watanzania yaa Allah mlinde Said Salim Bakhresa na Shari na hasidi za walimwengu na fitna zao
 

Yaani huyuhuyu mkwepa kodi ninayemfahamu?
 
kawapa ajira kina nani? hebu kaangalie katika Sea Bus, kuna mgogo, njoo Dodoma kuna Mgogo katika Ice-Cream zake na keki?

Company is managed by his sons.
Source: Forbes Magazine
km Kampuni zake wanaongoza
watoto hapo mm nitapataje ajira? Nikienda Zanzibar kweli mm mgogo tena mkisto nitapewa kazi na hao watoto wake.
Kumlinganisha na Mengi aliyemuajiri Farouk Karim ITV Zanzibar, ni tofauti
 

Watoto wake ni wakurugenzi!wewe ajira unaijua ukurugenzi tu?vijana kibao nawafahamu wapo pale old nmc kiwandan kwenye kiwanda chake cha pp bags ni wabara wameajiriwa,watanzania tumeanza kuwa watu wa ajabu kwa ukabila,udin na ukanda,mnyonge mnyongen ongelea issue nyingine lakin sio ya kuajir wabara hapo umechemka
 

Ukuli nayo kazi? nimekwambia fananisha Ukurugenzi na ukuli au kupata kazi huko Zanzibar, hapa kwetu waendesha baiskeli kibao na sio waajiriwa mpaka Ice-Cream zije fuatilia story yake kutoka kwa Karume, Ubaguzi kwa mwarabu haujifichi kwenye ajira hasa ukurugenzi na misaada
 
Congrats mmbongo mwenzetu,Mungu akunyooshee mambo yako na ufanikiwe zaidi.
 

Sio makuli ni ma operator na mafundi wa machine!kuhusu ilo la misaada kila mtu ana style yake ya kutoa wengine hawapendi publicity kama dini zinavyotaka au ww kuwapa walemavu pilau na soda ndo unaita misaada?hilo la uarabu simo kwa sababu mimi si mbaguzi,kuna watu wanasema "watu weusi ni wabaguzi kuliko weupe ila tu hatujapata opportunity"usitake niamini huo msemo!!kuhusu wanawe kuwa wakurugenz kwan huyo mheshimiwa uliyemsifia watoto wake sio wakurugenz?na yeye unajua asilimia ya watu alioajiri kutoka kwao?
 

Mbatata za urojo, aaah.
 
Hongera Bakhresa kwa kuelekea kututoa kimasomaso, Ninachofahamu bidhaa za vyakula havina kodi kubwa sana kulinganisha na bidhaa nyingine; hata wakati wa njaa kodi inaondolewa kabisa.
 
Alafu wenye mahera uswizi yeye hayumo
Ata kama halipi kodi sawa tuu
 
anajua cheza michezo ndio maana hayupo kwenye tax payers wakubwa

Huenda TRA hawafanyi kazi yao kisawasawa. Ingekuwa wanafanya sawasawa ndhani angekuwamo kwenye orodha ya walipa odi wakubwa
 
aliepewa kapewa naona kuna watu roho zinawauma........poleni
 
Kama ni kweli itabidi Hii nchi Iache Kutembeza Bakuli la saidia Baba!! Iweje mtu kama huyo asiwepo Kwenye List ya walipakodi prominent? Nilijitahidi Kumwombea Kijana wangu Ajira Huko ambaye alikuwa na all skills, akaambiwa Msahara ni TZS 80,000 Bila aibu Ilibidi nimwambie Kijana aache Kwani Hiyo ni dhuluma!!!! Viwanda na biashara za Huyu bwana zipo mitaa ya Mbagala kwa jitihada zake za kutafuta Cheap labour!! Hii ni aibu kwake kuwa kwenye hiyo list kwani Itabidi Title Iwe Mdhulumaji aliyeweza kuwa Tajiri mkubwa Affrica
 

Ajira zake ni za watu wasioenda shule na huwa ni Mdini sana!! Count my word Ukienda Viwanda vya Mengi Ratio ya dini Huwa ni SIO KIGEZO depends on relevant Skills!! Nenda kwa Huyu Bwana ration ni 99% by 1% depends on religion and not skill!! Count my word!! But always if you dont count on skills means cheap labour!!
 
Safi bila ya ccm asingefika hapo Kidumu chama cha mapinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…