Waheshimiwa hawa wameyasema yote,lakini mbona hawasemi nini kifanyike?Na tuanzie wapi?...........Ni dhahira uongozi ulioko madarakani umeshindwa na kwa makosa hayo hayo viongozi hawa watarudi madarakani 2010!!!Sasa Salimu,Warioba, na Butiku mnaishia kuzungumza tuu kama mmeyaona mapungufu yote??
Wao wamewaonyesheni uchafu ulipo; nyie hamna akili ya kujua cha kufanya.????!!!!
Tatizo ni kwamba wasababisha uchafu, waweka uchafu na wazoa uchafu ni wale wale. Mmoja anaropoka, mwingine anasahihisha mropoko wa mwenzie lakini kimsingi ni wale wale, na lao ni lile lile moja. We kumbuka hata wale wa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wanaambiwa watalipwa kwa sheria ya zamani, wakati hawa wa Ubungo maziwa waliambiwa hawawezi kulipwa kwa sheria ya zamani kwa vile bei ya mfuko wa simenti ya zamani ni tofauti na ya sasa.......VIJIMAMBO TUUUU.Wao wamewaonyesheni uchafu ulipo; nyie hamna akili ya kujua cha kufanya.????!!!!
Siyo mzaa bwana mzee, tatizo matamshi kama haya yameshatolewa sana, lakini muda mfupi baada ya matamshi tunarudi pale pale. We kumbuka enzi za ARI MPYA, NGUVU MPYA NA KASI MPYA, hadi leo tupo wapi??? Ajira milioni moja, hadi leo kuna mwenye takwimu zimeshatoka ngapi...????? Maisha bora kwa kila mtanzania yapo wapi..????? Mwingi naye anakuja na mashangingi, lakini tutarudi pale pale, hao hao watoa matamshi wengine wamo kwenye meremeta and others. Yaani imefika mahala haaminiki mtu, ni bola liende.Hili jambo tusilifanye ngoma ya mdundiko jamani,Kuna jambo la msingi sana ndani ya matamshi ya hawa waungwana!!!Angalieni jambo gani lifanyike kunusuru Taifa mikononi mwA MTU ALIYEKATA TAMAA!!!!
Hili jambo tusilifanye ngoma ya mdundiko jamani,Kuna jambo la msingi sana ndani ya matamshi ya hawa waungwana!!!Angalieni jambo gani lifanyike kunusuru Taifa mikononi mwA MTU ALIYEKATA TAMAA!!!!
Waheshimiwa hawa wameyasema yote,lakini mbona hawasemi nini kifanyike?Na tuanzie wapi?...........Ni dhahira uongozi ulioko madarakani umeshindwa na kwa makosa hayo hayo viongozi hawa watarudi madarakani 2010!!!Sasa Salimu,Warioba, na Butiku mnaishia kuzungumza tuu kama mmeyaona mapungufu yote??
Good ,we need solution and not problems only.
mdau wa Lusungo Ipinda Kyela
Wao wamewaonyesheni uchafu ulipo; nyie hamna akili ya kujua cha kufanya.????!!!!