Sallam kwanini wanamuziki wako huwatangazi kwenye nchi za mashariki ya kati?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Kila show ulaya america au kusini mwa jangwa la sahara, why huwatafutii show misri,algeria,morroco, irani, saudi arabia au hata omani?
 
Unataka wasanii wetu wachinjwe hadharani.??
Kwa mwendo wa diamond kucheza na madada stejini akipiga show saudi arabia si atachinjwa hadharani
 
Si atakuwa analindwa na mwarabu fighter
 
Si atakuwa analindwa na mwarabu fighter
Hahaaa mwarabu fighter akiona lile jambia la kuchinjia hawezi kubaki..

Halafu na style za uimbaji sidhani kama waarabu wanaweza kukubali bongo flavour
 
Arabuni akaperfom na kiķuku? Unamtakia kheri kweli
 
Mashariki ya kati ndiyo mdudu gani
 
Kila show ulaya america au kusini mwa jangwa la sahara, why huwatafutii show misri,algeria,morroco, irani, saudi arabia au hata omani?
Diamond mwaka jana kafanya show Oman, kwenye kiwanja yaani peke yake. Najua humpendi, ila video hiyo ilikuwa 27 March 2017, ingia millard ayo, sijui kesho utaleta nn ww kila siku mtu wa kuzusha.
 
Akijibu hii nitag Mkuu
 
Hahaaa mwarabu fighter akiona lile jambia la kuchinjia hawezi kubaki..

Halafu na style za uimbaji sidhani kama waarabu wanaweza kukubali bongo flavour
Ila si huwa wanaimba pia nyimbo za kuwavutia upande huo au hajaamua kulenga soko la pande hizo
 
Diamond mwaka jana kafanya show Oman, kwenye kiwanja yaani peke yake. Najua humpendi, ila video hiyo ilikuwa 27 March 2017, ingia millard ayo, sijui kesho utaleta nn ww kila siku mtu wa kuzusha.
Bwana moses iyomba a.k.a lukamba haya leta na zingne basi mbona moja tu
 
Una roho ya kimasikini, alafu bado kijana, sasa sijui ukizeeka utakuaje, shauri yako chuki umua mtu mjinga.
 
Moses iyobo vip kwanii nawee ni tajiri?
Shauri ndio unakuwa ww, umri haurudi nyuma baada uwe constructive ww kwa hiyari yako, umeamua kuwa destructive, don't hate be inspired.
 
Sawa tajiri mkata mauno
 
Kila show ulaya america au kusini mwa jangwa la sahara, why huwatafutii show misri,algeria,morroco, irani, saudi arabia au hata omani?

We Mavoko ona sasa unavyopigwa vumbi mtaani si ulionywa wewe uache kihere here na chuki za kijinga na hukusikia? .. sasa ukisikia kula jeuri yako ndio huko sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…