Sallam SK aka Mr. Misifa kaumbuliwa na Joh Makini

Sallam SK aka Mr. Misifa kaumbuliwa na Joh Makini

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Ni kuhusu Colabo

IMG_20220108_094904.jpg
IMG_20220108_094916.jpg
IMG_20220108_094829.jpg
IMG_20220108_094911.jpg
IMG_20220108_094837.jpg
 
Alafu kuna watu walikuwa wanamsema ohh
Ruge mnyonyaji wa wasanii

Ova

Kwenye maslahi bro hakuna kuleta hisia. Diamond alilalamika sana kupigwa vita na kukunjiwa lakini leo kashika spotlight na yeye anawakunjia wenzake, ni business tu mkuu mtu analinda maslahi yake japo ukienda naija naona huu ujinga washaachana nao ndio maana unakuta wana top artists kibao, ila kwetu sasa
 
kwenye maslahi bro hakuna kuleta hisia. Diamond alilalamika sana kupigwa vita na kukunjiwa lakini leo kashika spotlight na yeye anawakunjia wenzake, ni business tu mkuu mtu analinda maslahi yake japo ukienda naija naona huu ujinga washaachana nao ndio maana unakuta wana top artists kibao, ila kwetu sasa
Bongo maslahi wanakunjiana mpaka wenyewe kwa wenyewe,wanaija hawanaga hizo

Ova
 
Huyo naye MB Dog anampiga dongo la kimafumbo MASTA (AY).
Screenshot_20220108-214815_Instagram.jpg

Ay naye kaamua kumtolea uvivu.
Screenshot_20220108-214912_Instagram.jpg

Screenshot_20220108-214941_Instagram.jpg
Screenshot_20220108-215022_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom