Sallam SK aka Mr. Misifa kaumbuliwa na Joh Makini

Alafu kuna watu walikuwa wanamsema ohh
Ruge mnyonyaji wa wasanii

Ova

Kwenye maslahi bro hakuna kuleta hisia. Diamond alilalamika sana kupigwa vita na kukunjiwa lakini leo kashika spotlight na yeye anawakunjia wenzake, ni business tu mkuu mtu analinda maslahi yake japo ukienda naija naona huu ujinga washaachana nao ndio maana unakuta wana top artists kibao, ila kwetu sasa
 
Bongo maslahi wanakunjiana mpaka wenyewe kwa wenyewe,wanaija hawanaga hizo

Ova
 
Huyo naye MB Dog anampiga dongo la kimafumbo MASTA (AY).

Ay naye kaamua kumtolea uvivu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…