Sallam SK amefuta taarifa zinazomuonesha kama Manager wa Diamond Platnumz

Hivi mpaka Leo Kuna watu Wana muda wa kufuatilia Mambo ya watu wengine.... Mambo ambayo hayawaongezei chochote Cha maana katika maisha yao. Dahh!!! Very Sad.
We mbona umesoma uzi away wengine hayo pia ni mambo yao.je kuchangia huku ulikofanya kumekuongezea chochote
 
Me ni mmoja wa fan wa kiba kwenye mziki wake sema anakiangusha nje ya mziki wake kwenye kipaji namzungumzia vizuri nje hapo simzungumzii vizuri kwa sababu Hana vitu vizuri vya kumzungumzia ikiwemo hajui kujibrand n.k
Ila anakaa kwenye mghorofa wake sio mkodisho
 
Kwanza huyu Meneja uchwara ni Mkuda Kila aliyeondoka pale WCB anamuongelea Jamaa kwa Ubaya hakuna aliyewai kumuongelea kwa Uzuri
kuongelewa vizuri ni mpaka siku ya kuzikwa..
watu watakuongelea vizuri kwenye msiba wako
 
Kuna watu ndiyo raha yao kufuatutilia maisha ya watu,ndiyo maana magazeti ya udaku yanauza sana
Celebrities forum sio kwa ajili ya watu wa kawaida...hapa haongelewi mtu ambaye jamii hawamjui..tofautisha na kuongelea mtu wa kawaida au umepotea njia..hadi watu wenye IQ 170 wanafuatilia wewe utakuwa na wivu na chuki ndio inayokusumbua...YOU NEED A HUG
 
Ila anakaa kwenye mghorofa wake sio mkodisho
Kutokana na jina alilojenga alitakiwa awe na ambassador wa kampuni nyingi awe na label kubwa ya mziki, wimbo anatoa mpaka umwombe hiv ndio vitu vinavyomwangusha kimziki jamaa hajachangamka kabisa Kama akina diamond hata Harmonize kidogo kachangamka sijui Kiba ana tatizo gani Kama kipaji anacho tu Tena kikubwa
 
Yuko naJoho acha kabisa
 
alijaribu Mofaya ikamkata nyengo,akamfukuza meneja Seven bado mambo yamemtia gunzi kunako,life needs kuchakalika.
 
Huwezi ukamtegemea joho maisha yako yote ndomaana hata sisi tunalelewa na wazazi wetu ikifika time na sisi tunajitegemea.


Joho ndio Ali Kiba na Ali Kiba ndio Joho, sema hawawezi kuweka mambo yao hadharani tu, hizo show off kamwachia Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…