Sallam SK amefuta taarifa zinazomuonesha kama Manager wa Diamond Platnumz

Nikukosa kazi kufuatilia maisha ya mtu wakati yako tu yanakushinda.
Ila haina shida endelea kufuatilia na kuwa mteja wa magazeti ya udaku maana inawezekana ndiyo unachopenda
 
Hivi mpaka Leo Kuna watu Wana muda wa kufuatilia Mambo ya watu wengine.... Mambo ambayo hayawaongezei chochote Cha maana katika maisha yao. Dahh!!! Very Sad.
Kwa comment yako tu nawe umejiingiza humo bora ungepita kimya
 
Akitoka Tale hata Mimi ni lazima niingie wasafi tena hata kesho.nishapokea maombi ila management yangu ilikua ikimuogopa Tale,Tale kwenye mziki huu ni kama Trump vile
 
Wanatafuta attention kivipi?kwani taarifa ya yeye kuachana na mondi alitoa yeye au aliyeneza yeye au blog mbalimbali na page za udaku zimeandika ikiwemo member wa humu jamiiforum
Walifanya hivyo wakijua watu watapata tafsiri hoyo waliyoilisudia kama ilivyoenezwa
 
Walifanya hivyo wakijua watu watapata tafsiri hoyo waliyoilisudia kama ilivyoenezwa
Sallam alifuta email ya booking kutokana na kipindi hiki Cha Corona Kama ingekuwa anataka attention angefanya before ya Corona sema kutokana na watu kutafuta habari ya kuuza ndo wakaandika kwenye magazeti, blogs na page za udaku ila kwa kutumia logic ya kawaida unajua hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…