John alimwalika Sally kuja kula chakula. Waliwasiliana kwa simu kwa muda John akamweleza Sally pahali mkahawa iko. Sally alipofika alikuja na marafiki wake wa kike watatu. John alipoona hivi alikasirika kimoyo lakini alijifanya kufurahi. Aliuliza wasichana walichotaka wakamueleza mfanyikazi wa mkahawa. Waliitisha viazi, kuku na soda. Wakaanza kuongea.
John alifanya ujanja alimwachia Sally mfuko wa karatasi akasema amuangalilie ameenda msalani lakini alitoroka. Wasichana hawakushuku chochote kwa sababu aliwacha mfuko wake baada ya masaa mawili wakashuku ametoroka. Kufungua mfuko wake walipata gazeti la jana na shilingi mia tano za tanzania. Chakula walichokula iligharimu elfu sabini. Ilibidi wajilipie.
Je, JOHN alifanya makosa?