Sally kafanana na Hamisa Mobetto

khomgodlove

Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
33
Reaction score
22
Binti ambaye anajihusisha na mitinido. Na fasheni ukimuangalia vizuri kafanana sana na mwanamuziki mwana mitindo anasema anashangaa kwanni wanamfananisha na Hamisa misikilize hapa akihojiwa>>
 
Aaaaaa Sallyyy...... mambo.......naona umeamua kujiweka mwenyewe youtube, hayaaa si wengine hatuna bundle,mtatusimulia mlio angalia.
 
Naona umeamua kujipa promo mwenyewe bi sally,, sawa ila ungeweka picha tu ingekuwa poa mana nitopeteze bando langu eti kisa tu kumuona mtu kafanana na hamisa mobeto na hali hii ya mama sio kweli. Sally umekuja kwa I'd nyingine jf😃
 
Kama vile Recho na RayC walivyofanana...
 
Hauna ruhusa ya kumpenda mtu mwingine zaidi yangu. Unatakiwa unipende mimi tu. Usinifanye nijiingize kwenye ushirikina babe.
Basi mama chanja zilikuwa ni pombe tu
Siwezi kumchukua kigagula huyo
Usiniroge maana kazini kwenyewe wananiroga..
Wewe tu ndio umeuteka moyo wangu
Wasije wakasikia watu.
 
Basi mama chanja zilikuwa ni pombe tu
Siwezi kumchukua kigagula huyo
Usiniroge maana kazini kwenyewe wananiroga..
Wewe tu ndio umeuteka moyo wangu
Wasije wakasikia watu.
Sikorogi honey, ila baki na mimi tu.
 
Huyu jamaa mwenye microphone ndio kanivunja mbavu, yaani anauliza maswali very serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…