Wasafi Media a.k.a Real Madrid wa media wamemsaini rasmi mtangazaji aliyekuwa anatangaza TBC Salma Dakota baada ya kufikiana makubaliano kwa pande zote mbili.
Jana Salma Dakota ameaga uongozi wa TBC na wafanyakazi wote nakutoa shukrani zake zote kwa kipindi chake chote alichokuwa anafanya kazi hapo.Wasafi wamempa kipindi Cha asubuhi ambacho atakuwa anatangaza kuanzia saa 11 mpaka saa 2.
Salma Dakota afunga pia amepokelewa vizuri na wadau wengi nakumpongeza kwa kitendo Cha kuamia wasafi na hiyo amechukua Kama changamoto yakuongeza ufanisi ili kazi yake aifanye vizuri na kwa ubunifu mkubwa.