Wasafi Media a.k.a Real Madrid wa media wamemsaini rasmi mtangazaji aliyekuwa anatangaza TBC Salma Dakota baada ya kufikiana makubaliano kwa pande zote mbili.
Jana Salma Dakota ameaga uongozi wa TBC na wafanyakazi wote nakutoa shukrani zake zote kwa kipindi chake chote alichokuwa anafanya kazi hapo.Wasafi wamempa kipindi Cha asubuhi ambacho atakuwa anatangaza kuanzia saa 11 mpaka saa 2.
Salma Dakota afunga pia amepokelewa vizuri na wadau wengi nakumpongeza kwa kitendo Cha kuamia wasafi na hiyo amechukua Kama changamoto yakuongeza ufanisi ili kazi yake aifanye vizuri na kwa ubunifu mkubwa.
Mzee baba hii ndio sector yako sisi wengine tunaibiaibia umeshindwa kujua kweli?FREDWAA Nae bado hawaja msajili..?
Hahahahaha kuna vitu tunakamilisha tutakuja na majibu rasmiMzee baba hii ndio sector yako sisi wengine tunaibiaibia umeshindwa kujua kweli?
Ndio ni ndugu kabisa wa damu na wakati anasign mkataba pia Kaka yake Hamisi Dakota alikuwepoKwani wana undugu na Hamis Dakota wa clouds?
Sasa utamjuaje Kama ufatilii TBCMbona huyo Salma ndiyo kwanza sie wengine tunamsikia sasa hivi.
ShukraniNdio ni ndugu kabisa wa damu na wakati anasign mkataba pia Kaka yake Hamisi Dakota alikuwepo
Kwa mujibu wake amesema aliwahikufanya kazi radio uhuru pia amefanya kazi radio free Africa.Kati ya hizo mbili yaani radio free Africa au radio uhuru ndo atakuwa ameanziaShukrani
Maana huyu dada nahisi alianzia times au radio uhuru kutangaza
Kwanini CCM IS EQUAL TO WCB?
Nimekusoma mkuu.Kwa mujibu wake amesema aliwahikufanya kazi radio uhuru pia amefanya kazi radio free Africa.Kati ya hizo mbili yaani radio free Africa au radio uhuru ndo atakuwa ameanzia