Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Well let him win. He will just be a puppet president most likely. Even a bigger puppet than Bush is today. His role will mostly be ceremonial not real presidency. The man has no substance. All he talks about in his speeches is change, change, change, change,...more change, ad infinitum.
Mrs.Obama is great kwa kweli, more importantly she is honest anasemaga ukweli hata kama huo ukweli unaturnish image yake.
Huyu wetu frankly I doubt kwa kweli.At times huwa napata tabu ninapokumbuka maneno ya JK kwamba alijiandaa zaidi ya miaka kumi kuwa rais. I'm sure kama hayo anayosema ni kweli basi kuna eneo hakulindaa nalo ni la first lady, kama alimwandaa basi kimavazi na si vinginevyo. Huyu mama several times nimezisikia speech zake, mbali ya kwamba huwa zinakuwa zimeandaliwa bado zinamsumbua hata kuzisoma jamani, hizi ni zile za kiswahili za kiingereza nisiseme mengi kwa kweli.Huyu mama pia nina wasiwasi na upstairs, hapa hamna chumvi. Najuwa yy ni mwalimu wa primary lakini wapo walimu kama yeye akisimama mbele kuongea unamwelewa huyu wetu mhhh anyways. Nakumbuka merehemu mmoja mbunge alishawahi kuponda mwaliko wa salma kwa sababu kila akiwaita hajui anawaitia nini maana haeleweki. JK yuko responsible kwa hili kwani katika miaka kumi angeweza kupata japo ka diploma ka kuchovya.
His biological father was Kenyan but that's about it. His biological father was a deadbeat who abandoned him early on to have any real Kenyan influence on him. So I don't consider him Kenyan-American at all. I don't think most Americans see him as Kenyan-American only Africans view him as Kenyan-American.
Trust me, wonder boy Obama has some skeletons in his closet. He just has not been in the public eye long enough. They will come out soon or later.
Now, here we have a sick, bigotted, prejudiced mind. You need have no a Ph.D. to identify his/her mindset.
Hey you guessed it....that is Raj Patel
Hey you guessed it....that is Raj Patel
Makubwa!! Yaani Raj yu hai bado?? Nilifikiri tulishamzika toka tanzatl na huku yupo???
Tumwache mama Salma maana tukimlinganisha itakuwa maumivu tu. Yeye ni wetu tu maana ni representative ya maisha ya watanzania wengi hatujui misingi ya kuolewa kwake japokuwa tunaweza sema ndoa ya obama walikutana shuleni au labda ktk anga za uanasheria
Ata huko primary school si alikuwa anafundisha somo la Uraia au zamani Siasa...kwa kifupi naye ni mwanasiasa tuu(inaonekana familia nzima ni ya wanasiasa)
Baadhi ya watu walisema Mama Anna ni smart upstairs naona na usmart wake akaamua kumshauri mumewe awe Fisadi kazi kweli kweli!!!
Mama yetu tumlinganishe na wale wa jirani zetu kwanza akifanya vizuri basi anapanda daraja.
Huyu mwanamama anaiturn one with her intelligence,sense of perspective, real genuine lady there. Can you imagine akigombana na mumwewe basi inaelekea zitakuwa the most intellectual "throw downs" mama Salam mtazame mwenzio huyu.
[media]http://www.youtube.com/watch?v=pyBc33UjvDU&eurl=[/media]
**Brazameni,ndiyo sababu Ndege wenye mbawa za kufanana sikuzote Huruka pamoja!! Sijawahi Ona KUNGURU kuruka na NJIWA mie!!
Brazameni,
women DO NOT reward sensitivity and loyalty with sex....be friendly but don't be her friend...
Duh, mkuu hii umeipata wapi?.... kali kichizi!
Mrs.Obama is great kwa kweli, more importantly she is honest anasemaga ukweli hata kama huo ukweli unaturnish image yake.
Huyu wetu frankly I doubt kwa kweli.At times huwa napata tabu ninapokumbuka maneno ya JK kwamba alijiandaa zaidi ya miaka kumi kuwa rais. I'm sure kama hayo anayosema ni kweli basi kuna eneo hakulindaa nalo ni la first lady, kama alimwandaa basi kimavazi na si vinginevyo. Huyu mama several times nimezisikia speech zake, mbali ya kwamba huwa zinakuwa zimeandaliwa bado zinamsumbua hata kuzisoma jamani, hizi ni zile za kiswahili za kiingereza nisiseme mengi kwa kweli.Huyu mama pia nina wasiwasi na upstairs, hapa hamna chumvi. Najuwa yy ni mwalimu wa primary lakini wapo walimu kama yeye akisimama mbele kuongea unamwelewa huyu wetu mhhh anyways. Nakumbuka merehemu mmoja mbunge alishawahi kuponda mwaliko wa salma kwa sababu kila akiwaita hajui anawaitia nini maana haeleweki. JK yuko responsible kwa hili kwani katika miaka kumi angeweza kupata japo ka diploma ka kuchovya.
Wanajambo pls help,
nimejaribu kusikiliza hayo mahojiano ya mama obama nimeshindwa kuyapata kwa hiyo sielewi kinachoendelea,nasoma tu mnavyomsifia ...,naomba sana mnijulishe kuwa ameimpress vipi wananchi wa jambo???
Thanks in advance kwa yeyote atakayrjitolea kunipa habari.
Wenu mtiifu
MAMBO.
Mwanamama
Nimeona hiyo link lakini nimeshindwa kuelewa kinachoendelea ndio mana nimeomba msaada wa maelezo in summary.
Thanks