πππππNdugu mleta mada heading ilitakiwa iwe hivi;
NYUMBA KUBWA NA NYUMBA NDOGO WAMEKUTANA KWENYE KAMPENI ZA CCM HUKO JIMBONI MCHINGA.
Uongo au uongozi wa mumeo anayetawala kwa remote control? Mtasifia hadi mkufuru awe kama Jiwe. Nyie endeleeni tu mtajua hamjuiMGOMBEA ubunge wa Jimbo la Mchinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Salma Kikwete 'Mama Salma' amesema, maendeleo makubwa yaliyofikiwa jimboni humo chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ni kama muujiza kwani kwa muda mfupi tu amegusa nyanja mbalimbali.
Amesema hayo leo Septemba 25 jimboni Mchinga mkoani Lindi kwenye mkutano wa kampeni ya Mwenyekiti wa CCM na mgombea urais, Dk. Samia, alipofika kuinadi Ilani ya CCM na kuomba kura kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.