PreGE2025 Salome Makamba amechukua fomu kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
SHINYANGA: Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga, Salome Makamba amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Salome amekabidhiwa fomu hiyo leo na Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Mkoa wa Shinyanga Habiba Musimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…