Salome Makamba aomba Serikali itumie magari ya "Washawasha" kuwaondoa Wamasai Ngorongoro badala ya kudhibiti Wapinzani

None sense! Wana IQ ndogo sana hao.. hawajui madhara ya wanachoshauri
 
Masai kabisa ikakae kwenye majengo?
 
Njia pekee ni kuwapunguza idadi yao Ili waendane na ecologia tena kiungwana kwa kuwapeleka maeneo mengine salama.
Masai abadili shughuli. Tatizo hawataki kufuga kisasa. Ufugaji wao ni tatizo pia. Kwa hili, japo serikali yetu nayo haiaminiki, wamasai hata uwapeleke wapi watahama na kuwaletea shida jamii za wakulima. Ni jamii fulani ya kidwanzi sana.
 
Wanaweza wakahama kisha akapewa mtu binafsi viongozi wa kiafrica mbele ya pesa awajambo
 
Huyu Hana analolijua zaidi ya kutetea ugali huwezi kusema ww Ni balozi wa tembo wakati asilimia kubwa ya tembo wako Serengeti na kilichopo ngorongoro Ni faru na wanyama wengine kwani wamasai Wana shida gani wapo huko hata kipindi hajazaliwa awamu ngapi zimepita zikawaacha hapo Leo mje kuwatoa she can't be serious yeye a sign pishi Basi kikubwa tunajua Ni wale wabunge wa mchakato basiiiiiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…