Habari wakuu,,
Weka top 5 yako ya magari (saloon car) yanayotamba kwa sasa ukianza na lakwanza hadi la 5,
Sent using Jamii Forums mobile app
1. BMW E90 2009 (6 cylinders only)Habari wakuu,,
Weka top 5 yako ya magari (saloon car) yanayotamba kwa sasa ukianza na lakwanza hadi la 5,
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaipendea nini E46 kuliko B8 mkuu?1. BMW E90 2009 (6 cylinders only)
2. BMW E46 2004
3. BMW F30 2014 (non turbo)
4. BMW E60 2009
5. AUDI A4 B8
Bila hapo bora niende kwenye SUVs. X series au Disco 3 na 4.