Saloon Inauzwa

PRESIDA TO BE..

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
302
Reaction score
200
Ndugu mwanaJamiiForum,

Kaka ww unaplan ya kufungua saloon nauza saloon complete..

1. Kiti cha kunyolea
2. Kiti cha kukalia watu watatu
3. Vioo full set
4. Mashine moja ya kunyolea
5. Mlango wa fremu
6. Other accessories za kunyolea.

Vitu vyote ni vipya unachukua na kuanza kazi.

Bei Jumla 1.5m

Karibu tuongee..na kuona picha ya vitu

Mawasiliano: 0714624784.

Napatikana Dsm.
 
Weka picha acha biashara za kizamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…