Salter vs Westpoint food processor

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,440
Reaction score
8,149
Watalaam, nataka kuvuta hiki kifaa cha kuitwa food processor kwa ajili ya kurahisisha mambo jikoni, hofu yangu mchina kachafua sana kwenye electronics na bidhaa zake fake, ila nimefanya kautafiti kadogo nikaona kati ya Salter na westpoint naweza kuchukua moja wapo lakini sijajua ipi inafaa zaidi, ushauri wenu ni muhimu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…