Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, amesema hatashiriki katika malumbano na watu wanaomkosoa au kumbeza kuhusu uamuzi wake wa kugombea Urais na kushindana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza baada ya kuchukua fomu ya kuwania Urais katika Ofisi za Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jijini Dodoma alipoulizwa na wanahabari kuhusu kauli za kumbeza zilizotolewa na Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, Mwalimu amesema haijawahi kuwa tabia yake kujibizana na mtu yeyote.
“Ameyasema ayaseme tu, mimi siko hapa kujibishana na mtu yeyote, haijawahi kuwa hulka yangu, sijawahi kujibishana na mtu wala kumbeza mtu. Acha waseme, ninaamini katika uhuru wa maoni. Sio leo tu, hata nitakapoingia madarakani watu watasema na kusema, lakini mimi nimejikita kwenye nini Watanzania wanataka,” amesema
Salumu mwenyewe hata simuelewagi hajawai Fanya chochote kile kwenye viunga vya siasa za TANZANIAMgombea wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, amesema hatashiriki katika malumbano na watu wanaomkosoa au kumbeza kuhusu uamuzi wake wa kugombea Urais na kushindana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza baada ya kuchukua fomu ya kuwania Urais katika Ofisi za Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jijini Dodoma alipoulizwa na wanahabari kuhusu kauli za kumbeza zilizotolewa na Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, Mwalimu amesema haijawahi kuwa tabia yake kujibizana na mtu yeyote.
“Ameyasema ayaseme tu, mimi siko hapa kujibishana na mtu yeyote, haijawahi kuwa hulka yangu, sijawahi kujibishana na mtu wala kumbeza mtu. Acha waseme, ninaamini katika uhuru wa maoni. Sio leo tu, hata nitakapoingia madarakani watu watasema na kusema, lakini mimi nimejikita kwenye nini Watanzania wanataka,” amesema
Chanzo: Jambo TV
Jasusi muuza vijarida uchwara kujipenyeza kupata chochote KITU MlPANGO YA WATU HIII.Nimeona Umati wa watu wakimsindikiza kuchukua fomu ya Urais, Wakiongozwa na Yerricko Nyerere
Ebu kuweni wazi, mnasusa au mnazuia?
Safi kabisa, hii ndo maana ya mtu aliyeenda shule kuelimika. Kuna mijitu kutwa kucha yenyewe ni kutafuta Shari tu na wenzao......mara izushe hili mara lile; mara iongee vile mara hivi.Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, amesema hatashiriki katika malumbano na watu wanaomkosoa au kumbeza kuhusu uamuzi wake wa kugombea Urais na kushindana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza baada ya kuchukua fomu ya kuwania Urais katika Ofisi za Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jijini Dodoma alipoulizwa na wanahabari kuhusu kauli za kumbeza zilizotolewa na Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, Mwalimu amesema haijawahi kuwa tabia yake kujibizana na mtu yeyote.
“Ameyasema ayaseme tu, mimi siko hapa kujibishana na mtu yeyote, haijawahi kuwa hulka yangu, sijawahi kujibishana na mtu wala kumbeza mtu. Acha waseme, ninaamini katika uhuru wa maoni. Sio leo tu, hata nitakapoingia madarakani watu watasema na kusema, lakini mimi nimejikita kwenye nini Watanzania wanataka,” amesema
Chanzo: Jambo TV
Wakikngozwa na Tapeli!Nimeona Umati wa watu wakimsindikiza kuchukua fomu ya Urais, Wakiongozwa na Yerricko Nyerere
Waadilifu bado wapo wengi sana, hilo nina uhakika nalo kwa 100%Hahaha, hii nchi kuna uwezekano mkubwa watu waadilifu hawazidi kumi.
Tena wa kuogopwa zaidi ni hawa wanaopiga kelele kuhusu uadilifu.
Salumu mwenyewe hata simuelewagi hajawai Fanya chochote kile kwenye viunga vya siasa za TANZANIA
Hata zungumza yake ni ya mtu asiyekua charismatic leader.
Hahahaha ! bado mnatabia ya kujinadi..kama enz fulani unapewa mishe halafu unafika na kuwaambia "oya nimetumwa nije niwachunguze kwahyo kuweni makini"Mbona na muona dada apo nyuma kala glass si system mwenzangu kbs cjui kafikaje apo