GE2025 Salum Mwalimu ajibu kuhusu Polepole Kumbeza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yerricko aliondoka Chadema baada ya Uchaguzi January 21
Lakini alikua bado ajatangaza chama anachokwenda kamanda. Hivi unaona ni sahihi Katibu wetu kuvibagaza na kuvikejeri vyama vingine vinavyoshiriki uchaguzi kua vikaragosi nk? Kwangu nadhani kamanda Heche inabidi ifike sehemu sasa atulie kabisa aache siasa zenye jazba na arrogance ili wananchi watuelewe vizuri.
 
Salum Mwalimu, unaumwa nyakanywa au ugonjwa wa makabtula. Yaani wewe unawaza kuingia madarakani? Madaraka gani hayo?
Kuna watu wana masihara sana. Labda anazungumzia madaraka ya mwalimu wa madrasa
 
Salum Mwalimu yupo payroll ya CCM, kimsingi yupo pale strategically. Huyo ni pure CCM.....Ulishasikia alishasema kitu kuhusu Samia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…