Haaa! Mwalimu umeyatoa ya moyoni kwa Aida, ila furshi huyu dada alijatihdi sana kuwatumikia wananchi wake wa Jimbo Nkasi Kaskazini na ukizangatia katika uchaguzi wa 2020 yeye ndiye alikuwa mgombea pekee aliyeshinda ubunge kutoka vyama vya upinzani Tanzania nzima.
Anarekodi yake!
=====================
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amempa 'maua yake' Mbunge wa Nkasi Kaskazini aliyemaliza muda wake, Aida Kenani.
Ametoa pongezi hizo leo kwenye mkutano wake wa kampeni Kilando mkoa wa Rukwa
Mpaka sasa chadema hamna watu CCM tuna watu sana sema kuna kikundi kidogo cha watu ndo kimejimilikisha kwenye zile nafasi nyeti wengine tumebaki makasuku tu
Mpaka sasa chadema hamna watu CCM tuna watu sana sema kuna kikundi kidogo cha watu ndo kimejimilikisha kwenye zile nafasi nyeti wengine tumebaki makasuku tu
Sehemu zote zinawatu wamaana na waaovyo ni basi tu kwa asili ya mfumo wa sasa waavyo au matendo ya ovyo yanathaminika sana ndo maana restart kwa nchi ni muhimu sana