LGE2024 Salum Mwalimu azindua kampeni Bunda mjini

LGE2024 Salum Mwalimu azindua kampeni Bunda mjini

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Screenshot 2024-11-22 121340.png

Pichani ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zanzibar, Salum Mwalimu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa jimbo la Bunda Mjini. Mwalimu atafanya pia mikutano ya kampeni kwenye mikoa ya Simiyu, Shinyanga, Tabora na kuhitimishi Mkoa wa Katavi.

Screenshot 2024-11-22 121326.png
Screenshot 2024-11-22 121349.png


 
CCM walinusa hatari ya kushindwa vibaya ndiyo maana wakamtuma Mchengerwa kuwaengua wagombea wa Chadema .
 
Back
Top Bottom