Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
TakatakaSalum Mwalimu akizungumza leo Mei 7, 2026 amesema kuwa CHADEMA (Chama cha Maendeleo na Demokrasia) hakitaki masuala ya Katiba Mpya na Utekaji yaendelee kuwa ajenda za kudumu za kisiasa nchini Tanzania.
"Pengine huo ndio mtihani ambao tumekuwa tukiupitia vyama vya upinzani. Ndio maana leo tunadai Katiba kwa miaka 30. Tume zinakuja zinapendekeza, zinakuja zinapendekeza, zinakuja zinapendekeza.
Badala ya kuunganisha nguvu ya kuhakikisha unakuwepo utekelezaji wa mapendekezo yanayotolewa na tume zinazoundwa, ambazo zinakuja na mapendekezo yanayogusa hisia zetu au yanayogusa mahitaji yetu kama Watanzania, tuna-divert, muda unapita, jambo lile linapotea, tunabaki...
Kwamba sasa, CHAUMMA hatutaki kufanya ajenda ya Katiba Mpya nchi hii kuwa ya kudumu, tunataka iishe.
CHAUMMA hatutaki kufanya ajenda ya utekaji nchi hii kwamba ndio ajenda ya kudumu ya kisiasa ya sisi kuzungumza kwenye majukwaa, tunataka iishe. >
Salum Mwalimu akizungumza leo Mei 7, 2026 amesema kuwa CHADEMA (Chama cha Maendeleo na Demokrasia) hakitaki masuala ya Katiba Mpya na Utekaji yaendelee kuwa ajenda za kudumu za kisiasa nchini Tanzania.
"Pengine huo ndio mtihani ambao tumekuwa tukiupitia vyama vya upinzani. Ndio maana leo tunadai Katiba kwa miaka 30. Tume zinakuja zinapendekeza, zinakuja zinapendekeza, zinakuja zinapendekeza.
Badala ya kuunganisha nguvu ya kuhakikisha unakuwepo utekelezaji wa mapendekezo yanayotolewa na tume zinazoundwa, ambazo zinakuja na mapendekezo yanayogusa hisia zetu au yanayogusa mahitaji yetu kama Watanzania, tuna-divert, muda unapita, jambo lile linapotea, tunabaki...
Kwamba sasa, CHAUMMA hatutaki kufanya ajenda ya Katiba Mpya nchi hii kuwa ya kudumu, tunataka iishe.
CHAUMMA hatutaki kufanya ajenda ya utekaji nchi hii kwamba ndio ajenda ya kudumu ya kisiasa ya sisi kuzungumza kwenye majukwaa, tunataka iishe. >
Chadema ilikuwa kama kokoro, eti na hii takataka Salum Mwalimu nayo ilikuwa kiongozi mwandamizi!!! Hakika Sultan Mbowe alichelewesha mageuzi ya kisiasa kwa nchi hiiSalum Mwalimu akizungumza leo Mei 7, 2026 amesema kuwa CHADEMA (Chama cha Maendeleo na Demokrasia) hakitaki masuala ya Katiba Mpya na Utekaji yaendelee kuwa ajenda za kudumu za kisiasa nchini Tanzania.