LGE2024 Salum Mwalimu Kuongoza Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa serikali za Mitaa Bunda

LGE2024 Salum Mwalimu Kuongoza Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa serikali za Mitaa Bunda

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu ataongoza Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Bunda Mjini.

Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa kila mahali hii hapa

Screenshot_2024-11-20-16-20-04-1.png

#WATAKE WASITAKE
 
Huyu ana laana ya Mwalimu Msele wa Umbwe Secondary
 
Usiseme chama chake sema chama chetu😁
Labda niseme chama chao, mimi nikiandika hapa naandika kwa niaba ya jf, siandiki kwa niaba ya Chadema, haya ndio nyinyi chawa wa ccm msichokijua, Mimi ni mwandishi wa JF si mwandishi wa Chadema
 
Labda niseme chama chao, mimi nikiandika hapa naandika kwa niaba ya jf, siandiki kwa niaba ya Chadema, haya ndio nyinyi chawa wa ccm msichokijua, Mimi ni mwandishi wa JF si mwandishi wa Chadema
Wewe unajulikana kabisa, sasa unakataa nini?😁
 
Back
Top Bottom