GE2025 Salum Mwalimu mgombea urais na Devotha Minja mgombea mwenza kupitia CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nitawapigia kura chaumma
 
Mwalimu siyo mtu?
Siku ile anahojiwa AzamTV alipanic sana ilibakia hivi tu amkunje shati mtangazaji, facial expression ilikua inaongea pia ni shabiki wa Simba msisahau hio
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
ACT itawafunika vibaya sana. Mbowe abaki na chadema kama mlezi. na alinde heshima yake awaachie vijana waemde chaumma.
 
Huyo Mwalimu anajikutaga sana. Lakini kipaji hana. Hana mvuto wa kisiasa.
Tehe tehe tehe tehe
 
Huyo Mwalimu anajikutaga sana. Lakini kipaji hana. Hana mvuto wa kisiasa.
Tehe tehe tehe tehe
Kujikuta ndiyo kufanyaje mkuu?

Na wewe siku hizi wajikuta fundi wa kuchonga lugha za mipasho.
 
Bora Mzee wa ubwaubwa mara mia kuliko huyu Malaya wa kisiasa.
 
Safi damu mpya kijana msomi lkn nikiongozi mpambanaji nitampa kura yangu nawewe naomba umpe kura Yako ya kuleta mabadiliko
 

Mwamba akitimba fasta adjustment itafanyika wala usiwe na pressure
 
Ila Mbowe atawaunga mkono na kuwasaidia wagombea wa Chaumma na ACT-WAZALENDO. Hamna conflict of interest kwa sababu Chadema haitashiriki kwenye uchaguzi.

Amandla....
Wewe binti chadema inakuumiza kichwa kuliko hata mkojo wa asubuhi.
 
Miaka ya nyuma mikutano kama hii ya CHAUMMA hakuna aliyefuatilia, ghafla wamekuwa maarufu.
DOla inaweza kukifanya chama chote kuwa maarufu, ila loyalty ya wananchi inajulikana ilipo
 
Hiki chama kumbe cha kipumbavu hivi? Huyu bogus Salum Mwalimu ndo mgombea urais kweli?
Yaani wameshindwa kufikiria hata kupata mgombea atakayewapa kura za kupata viti maalum?
 
😅😅 Aibu ya mwaka, takataka kama Salum Mwalimu eti mgombea Urais, CHAUMA wametia aibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…