GE2025 Salum Mwalimu mgombea urais na Devotha Minja mgombea mwenza kupitia CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huu ni utani na vichekesho hata Mgombea wa ACT ni vituko
 
Mama samia anapata aibu ya mwaka ushindi wake lazima ajiskie aibu anaenda kushindana na hawa serengeti boys akina mpina na salum mwalimu..bibi huyu hata haya haoni
 
Kabla ya kuhama hakuwa naibu katibu mkuu.Nafasi yake ilikoma baada ya mwenyekiti Mh Lissu kuteua manaibu wengine.
 
NO REFORM NO ELECTION
 
vituko.co. tz, siasa za maigizo hizi, wananchi wanazipuuzia
 
vituko.co. tz, siasa za maigizo hizi, wananchi wanazipuuzia
 
Hahaha manaake kwanza hapo ncheke, marioo wa esta matiko anagombea upresdaa
 
Salum Mwalimu ni mgombea urais, na Devotha Minja ni mgombea mweza!!
Hizi ni dharau za hali ya juu sana. Wakipata hata kura laki mbili tu basi nitaamini hii nchi ina kundi kubwa sana la wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…