Kwanza Land cruizer ameirudisha?...aache kudanganya UMMA , hakuna asiyefahamu kama chaguzi Tanzania zimegeuka CHAFUZI, hakuna..2019, 2020 na hata chaguzi ndogo za Ubunge..kila kitu kilikuwa kinafahamika..busara ilikuwa ni kubadili namna ya kukabiliana na CCM, nadhani No Reforms movement was the best option