Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mgombea Urais kwa tiketi ya CHAUMMA, Salum Mwalim amewaomba wananchi wautumie vyema uchaguzi kuleta viongozi bora baada ya kuwapima nia na uwezo wao wa kuchagiza maendeleo.
Mwalim ametoa rai hiyo alipokuwa akinadi sera na kuomba kura kwa wananchi wa Sengerema kama anavyoeleza Emmanuel Kalemba.