as days goes,Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema anaikubali Ripoti ya Tume ya Jaji Chande kwa jinsi ilivyoweka wazi mambo mazito ambayo yamekuwa yakipigiwa kelele na wananchi, huku akisisitiza kuwa hakuna yeyote anayeweza kusimama sasa na kupuuza hoja zilizotolewa na Tume
"Kumekuwapo na changamoto ya miaka hii ya karibuni, ya watu kutekwa, kupotea, na kuuawa. Kumekuwapo na changamoto katika nchi hii ya baadhi ya viongozi kutokuwajibika... Hakuna yeyote anayeweza kusimama akasema hizi hazijawa ajenda zetu. Hakuna yeyote anayeweza akasema akasema kwamba "ah, haya sio mambo ya msingi, yako mengine ya msingi".
Sasa, tuna mambo yanayotusumbua kama taifa, watu wamekubali kuyakiri hadharani. Tume ya Jaji Chande imetoka, imeyakiri hadharani. Kwamba jamani eh, haya mambo yanawaudhi watu, na ndio yaliyotupeleka pale Oktoba 29. Mimi nimezunguka nchi nzima. Nazungumza kero hizi, nazungumza Katiba Mpya, nazungumza maisha ya vijana wenzangu nchi nzima."
We chawa waambie mabwana zako wakupeleke tuition ya English kama unakipenda sana ili usijiaibishe, 'days' haiwezi tena kwenda na 'goes'!.as days goes,
the gentleman is becoming among very brilliant politicians in Tanzania
well done Salum Mwalimu 👊
relax gentleman,We chawa waambie mabwana zako wakupeleke tuition ya English kama unakipenda sana ili usijiaibishe, 'days' haiwezi tena kwenda na 'goes'!.
Ungesema as days go...
Muungwana huchutama akidondokewa na msuli wake kuficha aibu, install grammar corrector, itakusaidia kunyoosha kimombo vizuri, Hapo kuna makosa zaidi ya matatu ya kiufundi. Ukikaza fuvu, kalaghabao.relax gentleman,
I'm sorry ikiwa uko confused na hiyo comment 🐒
Empty headAkizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema anaikubali Ripoti ya Tume ya Jaji Chande kwa jinsi ilivyoweka wazi mambo mazito ambayo yamekuwa yakipigiwa kelele na wananchi, huku akisisitiza kuwa hakuna yeyote anayeweza kusimama sasa na kupuuza hoja zilizotolewa na Tume
"Kumekuwapo na changamoto ya miaka hii ya karibuni, ya watu kutekwa, kupotea, na kuuawa. Kumekuwapo na changamoto katika nchi hii ya baadhi ya viongozi kutokuwajibika... Hakuna yeyote anayeweza kusimama akasema hizi hazijawa ajenda zetu. Hakuna yeyote anayeweza akasema akasema kwamba "ah, haya sio mambo ya msingi, yako mengine ya msingi".
Sasa, tuna mambo yanayotusumbua kama taifa, watu wamekubali kuyakiri hadharani. Tume ya Jaji Chande imetoka, imeyakiri hadharani. Kwamba jamani eh, haya mambo yanawaudhi watu, na ndio yaliyotupeleka pale Oktoba 29. Mimi nimezunguka nchi nzima. Nazungumza kero hizi, nazungumza Katiba Mpya, nazungumza maisha ya vijana wenzangu nchi nzima."
Mamake ni afisa wa TISSAkizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema anaikubali Ripoti ya Tume ya Jaji Chande kwa jinsi ilivyoweka wazi mambo mazito ambayo yamekuwa yakipigiwa kelele na wananchi, huku akisisitiza kuwa hakuna yeyote anayeweza kusimama sasa na kupuuza hoja zilizotolewa na Tume
"Kumekuwapo na changamoto ya miaka hii ya karibuni, ya watu kutekwa, kupotea, na kuuawa. Kumekuwapo na changamoto katika nchi hii ya baadhi ya viongozi kutokuwajibika... Hakuna yeyote anayeweza kusimama akasema hizi hazijawa ajenda zetu. Hakuna yeyote anayeweza akasema akasema kwamba "ah, haya sio mambo ya msingi, yako mengine ya msingi".
Sasa, tuna mambo yanayotusumbua kama taifa, watu wamekubali kuyakiri hadharani. Tume ya Jaji Chande imetoka, imeyakiri hadharani. Kwamba jamani eh, haya mambo yanawaudhi watu, na ndio yaliyotupeleka pale Oktoba 29. Mimi nimezunguka nchi nzima. Nazungumza kero hizi, nazungumza Katiba Mpya, nazungumza maisha ya vijana wenzangu nchi nzima."
Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema anaikubali Ripoti ya Tume ya Jaji Chande kwa jinsi ilivyoweka wazi mambo mazito ambayo yamekuwa yakipigiwa kelele na wananchi, huku akisisitiza kuwa hakuna yeyote anayeweza kusimama sasa na kupuuza hoja zilizotolewa na Tume
"Kumekuwapo na changamoto ya miaka hii ya karibuni, ya watu kutekwa, kupotea, na kuuawa. Kumekuwapo na changamoto katika nchi hii ya baadhi ya viongozi kutokuwajibika... Hakuna yeyote anayeweza kusimama akasema hizi hazijawa ajenda zetu. Hakuna yeyote anayeweza akasema akasema kwamba "ah, haya sio mambo ya msingi, yako mengine ya msingi".
Sasa, tuna mambo yanayotusumbua kama taifa, watu wamekubali kuyakiri hadharani. Tume ya Jaji Chande imetoka, imeyakiri hadharani. Kwamba jamani eh, haya mambo yanawaudhi watu, na ndio yaliyotupeleka pale Oktoba 29. Mimi nimezunguka nchi nzima. Nazungumza kero hizi, nazungumza Katiba Mpya, nazungumza maisha ya vijana wenzangu nchi nzima."
Na icc tukuone ili ukaiteteee umeikubalije na inafaaje?Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema anaikubali Ripoti ya Tume ya Jaji Chande kwa jinsi ilivyoweka wazi mambo mazito ambayo yamekuwa yakipigiwa kelele na wananchi, huku akisisitiza kuwa hakuna yeyote anayeweza kusimama sasa na kupuuza hoja zilizotolewa na Tume