The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
First lady Matiko hakuwepo?Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameambatana na mgombea mwenza wake Devotha Minja kufika kwa mbwembwe katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Njedengwa, jijini Dodoma, kuchukua fomu za uteuzi wa Rais na Makamu wa Rais kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Wagombea hao waliwasili wakiwa wamesindikizwa na msafara mkubwa uliojaa umati wa wafuasi wa chama hicho, wakipiga nderemo na kushangilia katika maeneo mbalimbali walipopita.
View attachment 3439045
Hawa ndio wana mtandao wa ChademaMgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameambatana na mgombea mwenza wake Devotha Minja kufika kwa mbwembwe katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Njedengwa, jijini Dodoma, kuchukua fomu za uteuzi wa Rais na Makamu wa Rais kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Wagombea hao waliwasili wakiwa wamesindikizwa na msafara mkubwa uliojaa umati wa wafuasi wa chama hicho, wakipiga nderemo na kushangilia katika maeneo mbalimbali walipopita.
View attachment 3439045
Wa TFFRais Salum Mwl, masihara haya!
Chauma(Ccm B kazi maalum)Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameambatana na mgombea mwenza wake Devotha Minja kufika kwa mbwembwe katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Njedengwa, jijini Dodoma, kuchukua fomu za uteuzi wa Rais na Makamu wa Rais kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Wagombea hao waliwasili wakiwa wamesindikizwa na msafara mkubwa uliojaa umati wa wafuasi wa chama hicho, wakipiga nderemo na kushangilia katika maeneo mbalimbali walipopita.
View attachment 3439045
Da nchi imeingiliwa kinyume na maumbileMgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameambatana na mgombea mwenza wake Devotha Minja kufika kwa mbwembwe katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Njedengwa, jijini Dodoma, kuchukua fomu za uteuzi wa Rais na Makamu wa Rais kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Wagombea hao waliwasili wakiwa wamesindikizwa na msafara mkubwa uliojaa umati wa wafuasi wa chama hicho, wakipiga nderemo na kushangilia katika maeneo mbalimbali walipopita.
View attachment 3439045
Nyumbu kwisha hbr yenuDa nchi imeingiliwa kinyume na maumbile
Wamekodi V8 10 kwa miezi miwili na kila V8 moja ni laki 3 kwa sikuDuhh chama hiki kimetoa wapi pesa zote hizi za kununua dinga Kali hizo kwa muda mfupi huu?
You talk shit 💩 manHiyo V8 inanunua jengo la chadema makao makuu
Hatimae Hashim Rungwe aonekana ni mtu 😂Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameambatana na mgombea mwenza wake Devotha Minja kufika kwa mbwembwe katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Njedengwa, jijini Dodoma, kuchukua fomu za uteuzi wa Rais na Makamu wa Rais kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Wagombea hao waliwasili wakiwa wamesindikizwa na msafara mkubwa uliojaa umati wa wafuasi wa chama hicho, wakipiga nderemo na kushangilia katika maeneo mbalimbali walipopita.
View attachment 3439045
Makada wa CCMMgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameambatana na mgombea mwenza wake Devotha Minja kufika kwa mbwembwe katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Njedengwa, jijini Dodoma, kuchukua fomu za uteuzi wa Rais na Makamu wa Rais kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Wagombea hao waliwasili wakiwa wamesindikizwa na msafara mkubwa uliojaa umati wa wafuasi wa chama hicho, wakipiga nderemo na kushangilia katika maeneo mbalimbali walipopita.
View attachment 3439045
Hii ni aibu kwa Jk na ⌚️100 kwa kutapanya pesa za walipakodiWagombea hao waliwasili wakiwa wamesindikizwa na msafara mkubwa..
Iwe bhojoYou talk shit 💩 man